Home Uncategorized NYOTA WA SIMBA KUTIMKIA NAMUNGO FC

NYOTA WA SIMBA KUTIMKIA NAMUNGO FC

MOHAMED Rashid mshambuliaji wa Simba inawezekana msimu ujao akakipiga kwenye klabu mpya ya Namungo.

Rashid amekuwa hana nafasi kubwa ndani ya KMC baada a mabosi hao kuonyesha dalili za kutaka kuachana naye msimu ujao baada ya kupata washambuliaji wapya.

KMC ambayo ipo nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya Kagame imesajili washambuliaji watatu wakali kama Ramadhan Kapela, Vitalis Mayanga na Salim Aiyee.

SOMA NA HII  VPL: MTIBWA SUGAR 0-0 YANGA