Uncategorized

TIMU ANAYOKWENDA OKWI ILIWAHI KUNOLEWA NA DIEGO MARADONA

admin July 10, 2019 10:33 am

Winga Emmanuel Okwi amejiunga na timu ya Fujairah Footbal Club inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE), imeelezwa.

Nyota huyo Mganda anakwenda kucheza katika timu hiyo ya Ligi Kuu UAE iliyowahi kufundishwa na gwiji la soka duniani, Diego Maradona.

Maradona kutoka Argentina, aliifundisha Furjairah kwa kipindi cha msimu wa 2017/18 na baada ya hapo hakuendelea.

Kwa sasa kikosi hicho kinanolewa na kocha Abdulla Maesfer raia wa UAE.


BIASHARA UNITED YAFANYA BIASHARA NA AMRI SAID BOVU LA MANARA KWA WACHAMBUZI KUHUSIANA NA SIMBA KUSAJILI “WAHENGA”

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply