Uncategorized

BIASHARA UNITED YAFANYA BIASHARA NA AMRI SAID

admin July 10, 2019 10:03 am


AMRI Said amepewa kandarasi ya mwaka mmoja kuendelea kukinoa kikosi cha timu ya Biashara United ya Mara.

Ofisa Habari wa Biashara United, Shomari Binda amesema kuwa unaamini uwezo na mbinu za Said ambaye ameinusuru timu kubaki kwenye ligi msimu ujao wa 2019-20.

“Tunaamini kwa uzoefu na mbinu alizonazo anaweza kuisaidia timu msimu ujao, kabla ya kumwaga wino tayari alishawasilisha ripoti hivyo tunaifanyia kazi ili kutimiza kile ambacho anakihitaji,” amesema.

OKWI ABWAGA MANYANGA SIMBA, ATIMKIA UARABUNI TIMU ANAYOKWENDA OKWI ILIWAHI KUNOLEWA NA DIEGO MARADONA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply