Home Uncategorized SIMBA RAHA AISEE, BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI GADIEL AONESHA NDINGA YA...

SIMBA RAHA AISEE, BAADA YA KUSAINI MIAKA MIWILI GADIEL AONESHA NDINGA YA MAANA


Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba SC, beki Gadiel Michael ameweka hadharani ndinga yake mpya kupitia ukurasa wake wa Instagram kama inavyonnekana hapo juu.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, LIPO MTAANI BURE KABISA