Uncategorized

MO ALIAMSHA TENA HUKO

admin July 15, 2019 12:51 pm

MWEKEZAJI wa Simba, Mohamed Dewj, leo ameandika ujumbe mfupi ambao umeacha maswali mengi kwa mashabiki na wadau wa soka kutaka kujua maana ya maneno hayo.


Mo amekuwa na kawaida ya kuandika ujumbe mfupi kwenye kurasa zake ambao umekuwa ukiacha maswali mengi kwa wanaomfuatilia kwa sasa.

Kupita ukurasa wake wa Instagram, Mo ameandika namna hii : “Uongo unapanda kwa lifti.Ukweli unapanda kwa ngazi,”.

Kauli hiyo imeamsha hisia za wadau wengi wakitaka ufafanuzi zaidi kwani maneno ni mafupi na hayajatolewa ufafanuzi zaidi.
HAYA NDIYO MAKOMBE ANAYOYATAKA NYOTA MPYA WA BARCELONA ANTONIE GRIEZMANN YANGA YALETA BEKI SPESHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply