Uncategorized

MTAMBO MPYA YANGA WATUA UWANJA WA NDEGE DAR

admin July 16, 2019 1:20 pm


Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia Sadney Urikhob amewasili tayari Tanzania kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga.

Urikhob ametua nchini na sasa ataelekea mjini Morogoro kujiunga na wenzake kwa ajili ya kambi maalum inayoendelea.

Mshambuliaji huyo alishamalizana na Yanga kwa kuingia nao mkataba wa miaka miwili.

Pro huyo amepokelewa na viongozi wa Yanga katika Uwanja wa Ndege na sasa kinachofuata ni kambi ya moja kwa moja Morogoro.

EXCLUSIVE!! MZEE KILOMONI SI MDHAMINI TENA SIMBA SC, USHAHIDI HUU HAPA HILI NDILO JESHI LA AZAM FC LINALOTOANA JASHO NA TP MAZEMBE LEO KAGAME

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply