Uncategorized

AZAM FC YAFICHUA SIRI YA USHINDI MBELE YA WACONGO

admin July 20, 2019 5:31 am


ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa haikuwa rahisi kutinga hatua ya fainali ya michuano ya Kagame kutokana na ushindani walioupata ila jitihada ziliwabeba.

Azam imetinga  hatua ya fainali ya michuano ya Kagame baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya AS Maniema ya Congo baada ya kumaliza dakika 120 bila kufungana.

“Haikuwa rahisi kutinga hatua hii, kila timu ilikuwa inahitaji ushindi ila jitihada na mapenzi ya Mungu yametimia,” amesema.

Azam FC watacheza fainali hiyo dhidi ya KCCA ya Uganda kesho nchini Rwanda.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply