Uncategorized
MESSI APATWA KIGUGUMIZI KUMZUNGUMZIA ANTONIE
admin
July 20, 2019
6:01 am
LIONEL Messi ni mshambuliaji wa Barcelona na nahodha pia wa kikosi hicho amesema kuwa hana neno juu ya usajili wa nyota mpya Antonie.
Messi amesema kuwa hana neno la kusema juu ya usajili wa Antoine Griezmann ndani ya kikosi hicho.
“Sina la kusema juu ya usajili wake ndani ya kikosi chetu,” amesema.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.