Home Uncategorized HUYU NDIYE MBADALA WA LEROY SANE NDANI YA BAYERN MUNICH

HUYU NDIYE MBADALA WA LEROY SANE NDANI YA BAYERN MUNICH


Bayern Munich wanaangalia uwezekano wa kumtaka winga wa Kimataifa wa Ivory Coast na Crystal Palace, Wilfred Zaha (26) ili kuwa mbadala wa Leroy Sane na Gareth Bale.

Mwanzo winga huyo alikuwa anatakiwa na Arsenal chini ya mwalimu Unai Emry. 


Arsenal waliamua kuachana na dili la Zaha kutokana na kutajiwa dau la kukomolewa ambalo ni pauni milioni 80

SOMA NA HII  SIMBA YAIPOTEZA JUMLAJUMLA YANGA KWA MKAPA