Uncategorized

LIVERPOOL: TUNAJIPANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO

admin July 24, 2019 4:36 am


JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa msimu ujao utakuwa mgumu kwa timu zote kutokana kila mmoja kujipanga.

Klopp amesema kuwa msimu uliopita alikwama kubeba ubingwa kutokana na makosa ambayo tuliyafannya mwanzo.

“Hatukufanya vibaya licha ya kuukosa ubingwa ambao umekwenda kwa Manchester City, wachezaji walipambana ila mwisho wa siku lazima mshindi apatikane.

“Kwa sasa ninaangalia namna kikosi changu kitakavyokuwa bora na kuleta ushindani, tuna matumaini ya kufanya vizuri,” amesema.

KMC YACHEKELEA KUTUPWA RWANDA KIMATAIFA MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply