Home Uncategorized RUVU SHOOTING YAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA LIGI KUU BARA

RUVU SHOOTING YAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA LIGI KUU BARA

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa tayari timu imeingia kambni kwa ajili ya kujiaanda na maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.

Makamu Mwenyekiti wa Ruvu Shooting, Ezekiel Mtani amesema kuwa tayari wamewahi kuingia kambini kujenga muunganiko imara.

“Ligi inakaribia kuanza, tayari tumeanza maandalizi kwa ajili ya kufanya vema msimu ujao tukiwa chini ya Kocha Mkuu, Salum Mayanga,” amesema.

SOMA NA HII  MASHINE MPYA YA YANGA NI MWENDO WA KUTUPIA TU HUKO