ARSENAL imesema kuwa haina mpango wa kumuuza nyota wake, Pierre Aubameyang msimu ujao.
Awali ilikuwa inaelezwa kuwa haina mpango wa kumuuza nyota huyo msimu ujao ili kupata mkwanja mrefu wa kuutumia kwenye usajili.
Timu kadhaa ambazo ilikuwa zinatajwa kuiwinda saini ya mchezaji huyo ni pamoja na Real Madrid, Barcelona na Manchester United.
“Auba hauzwi hakuna aliyekuja kwetu akimuhitaji nyota huyo wala nasi hatuna mpango wa kumuuza mshambuliaji huyo,” kilieleza chanzo hicho.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.