Uncategorized

KLABU TAJIRI YA CHINA YAMPA AHADI YA MSHAHARA MZITO GARETH BALE WA MADRID

admin July 28, 2019 7:40 am


GARETH Bale ni bonge la dili nchini China licha ya Meneja wake Zinadine Zidane kumwambia wazi kwamba ni lazima aondoke ndani ya kikosi hicho.

Mshambuliaji huyo ambaye hataki kuondoka ndani ya Madrid inaelezwa kuwa timu moja yenye mkwanja wa kutoshha nchini China ya Beijing Guoan inaitaka saini ya mshambuliaji.

POia hesabu na maleno ya klbu hiyo ni kumfanya Bale kuwa mchezaji namba moja kwa malipo nchini China huku ikigoma kutaja dau itakaloweka mezani na kumlipa mshahara mchezaji huyo.

Bale amesema kuwa bado hajafikiria kuondoka ndani ya Madrid hivyo ataendelea kufanya mazoezi na wenzake hata kama hatapangwa kwenye kikosi.

FIFA KUMPA TUZO YA HESHIMA NYOTA WA ZAMANI WA TIMU YA TAIFA YA CAMEROON CHELSEA KULA SAHANI MOJA NA MANCHESTER CITY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply