Uncategorized

MWANAMICHEZO AZIM DEWJI AZIDI KUTENGAMAA

admin July 28, 2019 3:40 am


AZIM Dewji ambaye ni mwanamichezo imeelezwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri akiwa amelazwa Taasisi ya Mifupa ya MOI na matibabu baada ya kuumia ajalini akiwa njiani kwenda Rufiji katika uwekaji jiwe la msingi mradi wa umeme wa Rufiji, juzi.

Inaelezwa moja ya mfupa wake katika uti wa mgongo umevunjika na anaendelea na matibabu.

Dewji amewahi kuwa mfadhili na mdhamini wa Simba kwa nyakati tofauti 1993, na klabu ya  Simba ilifika fainali ya Afrika na kufungwa na Stella Abidjan ya Ivory Coast.

Pia amewahi kuwa makamu mwenyekiti wa kamati ya Saidia Taifa Stars ishinde iliyokuwa chini ya uenyekiti wa Reginald Mengi ambaye ametangulia mbele za haki.

SEPETU: WACHEZAJI WALITUANGUSHA AFCON, LEO HAPANA, MASHABIKI TUJITOKEZE NDAYIRAGIJE:KIKOSI KIPO TAYARI KWA USHINDI LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply