Uncategorized

LIVERPOOL WATAJA SABABU YA KUSMAJILI KINDA ELLIOT KUTOKA FULHAM

admin July 29, 2019 9:35 am


JURGEN Klopp Meneja wa Liverpool amesema kuwa usajili wa kinda Harvey Elliot ndani ya klabu yake ni mzuri na wenye manufaa.

Klopp amesema kuwa lengo kubwa la kuwasajili vijana ndani ya Anfield ni kuwakuza ili baadaye wawe na makali ya kutosha.

“Sina mengi ya kusema juu ya kijana ambaye amejinga na klabu ya Liverpool ni usajili mzuri na wenye manufaa hapo baadaye,” amesema.


Kinda huyo mwenye miaka 16 amejiunga na kikosi hicho akitokea klabu ya Fulham.

MBARAZIL WA SIMBA AKIWASHA HUKO SAUZI LIVE: VIDEO SIMBA WAKIZUNGUMZA JUU YA MIPANGO YA KIMATAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply