Uncategorized

NAHODHA STARS ABEBA MATUMAINI YA KUTOSHA KUFUZU CHAN

admin July 29, 2019 7:55 am


JOHN Bocco nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, amesema kuwa kwa sasa akili zao ni kwenye mchezo wa marudio dhidi ya Kenya unaotarajiwa kuchezwa Agosti 4.

Stars jana ililazimisha suluhu ya bila kufungana bao na timu ya Kenya kwenye mchezo wa kwanza wa kufunzu michuano ya Chan itakayofanyika 2020 Cameroon mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa.

Bocco amesema:”Wao wameweza kupata sare nyumbani kwetu nasi tunakwenda kushinda kwao ni suala la muda na kujipanga tu hivyo mashabiki watupe sapoti kwa ajili ya kufikia malengo yetu ambayo ni kufuzu Chan,” amesema.

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU REAL MADRID WASITISHA DILI LA BALE KUTIMKIA CHINA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply