Uncategorized

KAMBI YA SIMBA YAVUNJWA AFRIKA KUSINI

admin July 31, 2019 6:33 am


KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa kambi ya nchini Afrika Kusini imekuwa na mafanikio makubwa kwa sasa ni muda wa kuondoka Afrika Kusini.

Simba iliweka kambi nchini Afrika Kusini kwa muda wa wiki mbili ikiwa ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao leo wanarejea nyumbani baada ya kuivunja kambi.

Aussems amesema:- “Kwa sasa ni muda wa kuondoka Afrika Kusini baada ya kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

“Tumeifanya kwa mafanikio makubwa na juhudi kubwa hivyo shukrani zetu kwa wote waliokuwa nasi,”.

HIMID MAO ACHEKELEA CHANGAMOTO MPYA NDANI YA MISRI MANCHESTER UNITED KUMKOSA BAILLY KWA MUDA WA MIEZI MITANO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply