Home Uncategorized KINDA WA FULHAM AVIBWAGA VIGOGO MADRID, PSG AITAKA LIVERPOOL

KINDA WA FULHAM AVIBWAGA VIGOGO MADRID, PSG AITAKA LIVERPOOL


Liverpool wako katika hatua za mwisho kumnasa kinda Harvey Elliot kutoka Fulham.

Kinda huyo wa miaka 16 amekuwa kivutio kwa baadhi ya timu.

Baadhi ya timu zilizoonyesha nia ya kumnasa ni pamoja na vigogo Kama Real Madrid, Paris Saint-Germain na RB Leipzig. 

Haha hivyo, imeelezwa, Elliott yeye hakutaka kwenda katika klabu hizo badala yake kujiunga na Liverpool akiwa na ham kubwa kufanya kazi chini ya Jurgen Klopp.
SOMA NA HII  YANGA NOMA, YAMALIZANA NA MAJEMBE TISA FASTA, LISTI YAO KAMILI HII HAPA