Home Uncategorized MAYANJA: TUPO TAYARI KIMATAIFA

MAYANJA: TUPO TAYARI KIMATAIFA


JACKSON Mayanja, Kocha Mkuu wa KMC amesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kukijenga kikosi kwa ajili ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Kigali.


KMC itamenyana na AS Kigali kati ya Agosti 10 ikiwa ni mchezo wa kombe la Shirikisho na kwa sasa wanaendelea na mazoezi uwanja wa Bora.

Mayanja amesema:-“Kazi kubwa ni kuaandaa kikosi kwa ajili ya michuano ya kimataifa, michuano ya Kagame imenipa picha ya kikosi kamili jinsi kilivyo hivyo sina mashaka na maandalizi yetu kwa sasa,”.
SOMA NA HII  LIVE: PAMBA SC 0-0 YANGA SC, MECHI YA KIRAFIKI