Home Uncategorized NINJA WA YANGA ATIMKIA KUKIPIGA MAREKANI

NINJA WA YANGA ATIMKIA KUKIPIGA MAREKANI

Abdalah Shaibu ‘Ninja’ amesaini kandarasi ya miaka minne akitokea timu ya Yanga kuitumikia timu ya MKF Vyskov ya Jamhuri ya Czech.

Timu hiyo imemtoa kwa mkopo wa mwaka mmoja kwenda LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani maarufu kama Major League.
SOMA NA HII  SVEN WA SIMBA KWENYE MTIHANI MWINGINE LEO MBELE YA MBAO FC,

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here