Uncategorized

TANZANITE: KESHO TUNAFANYA KWELI MBELE YA BOTSWANA

admin August 1, 2019 12:48 pm

BAKARI Shime ‘Mchawi Mweusi’ Kocha Mkuu wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 ‘Tanzanite’ amesema kuwa kesho watafanya kweli.

Tanzanite kwa sasa ipo nchini Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya COSAFA ambayo imeanza kutimua vumbi leo.

“Kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wamepewa majukumu kwa ajili ya mashindano haya ambayo tumealikwa hivyo ni muda wa watanzania kuwa na imani na sisi,” amesema.

Leo kikosi kimefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa kwanza kesho dhidi ya Botswana utakaochezwa  Uwanja wa Gelvandale,Port Elizabeth,Afrika Kusini.

YANGA HAWAPOI WAJIBU DONGO LA SIMBA KWA VITENDO, CHEKI JIBU LAO LAZIMA UKAE MFUMO MPYA WA SIMBA SASA KIBOKO,PUNGUZO KWA TIKETI MPAKA ASILIMIA KUMI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply