Home Uncategorized SPORTIPESA SIMBA WIKI YAENDELEA LEO NAMNA HII

SPORTIPESA SIMBA WIKI YAENDELEA LEO NAMNA HII

KLABU ya Simba leo imetembelea hospital ya Ocean Road na kuwajulia hali wagonjwa pamoja na kuwapa mahitaji maalumu.

Huu ni mwendelezo wa Simba kuelekea SportPesa Simba wiki inayotarajiwa kufanyika Agosti 6 uwanja wa Taifa.

SOMA NA HII  SIMBA WAANZA KUIFUATA SUMBAWANGA KWA AJILI YA FAINALI YA FA