ROBIN Van Persie, mshambuliaji wa zamani wa Manchester United amesema kuwa Alexis Sanchez hana furaha ndani ya Manchester United.
Sanchez amejiunga na United akitokea Arsenal mpaka sasa ahajaonyesha makali yake ya zamani kwani kwenye jumla ya michezo 45 aliyocheza amefunga mabao 5.
“Haonekani mwenye furaha ndani ya Manchester United tofauti na alivyokuwa Arsenal ndiyo maana hachezi kwa kiwango kizuri,” amesema.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.