Home Uncategorized WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MGENI RASMI LEO UWANJA...

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MGENI RASMI LEO UWANJA WA TAIFA

SIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Power Dynamo.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.

SOMA NA HII  KAGERE AWEKA REKODI VPL, AFIKISHA MABAO 50