Uncategorized

ARSENAL YAHAHA KUMPAMBANIA LACAZZETTE

admin August 7, 2019 9:26 am


ALEXANDRE Lacazzette, mshambuliaji wa Arsenal kwa sasa anatibiwa majeraha yake aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Lyon wikiendi iliyopita.

Lacazzette hakuwa sehemu ya kikosi kilichoivaa Barcelona kutokana na majeraha ya enka aliyonayo.

Anakabiliwa na kukimbizana na muda ambapo madaktari wanahaha kumrejesha kwenye ubora ili aanze kwenye mchezo wa ufunguzi dhidi ya Newcastle United Jumapili.

Nyota huyo mwenye miaka 28 ni miongoni mwa wapambanaji ambao wanaamiwa na Kocha Unai Emery.

Kwenye mchezo huo Arsenal mbele ya Barcleona ilipoteza kwa kipigo cha mabao 2-1.

AZAM FC WAOMBA DUA KWA MASHABIKI, SASA WAPO ADIS ABABA YANGA WAANZA KUIWINDA TOWNSHIPP ROLLERS, LEO KUKINUKISHA DHIDI YA MLANDEGE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply