Home Uncategorized MBEYA CITY WAO WAIKOMALIA TANZANIA PRISONS

MBEYA CITY WAO WAIKOMALIA TANZANIA PRISONS


KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Juma Mwambusi amesema kikosi kitarejea kwenye makali yake ya zamani.

Mwambusi amerejea nyumbani baada ya kupigwa chini na Azam FC msimu uliopita kwa kile kilichoelezwa kuwa ni matokeo mabovu.

Mchezo wake wa Kwanza utakuwa dhidi ya watani wa jadi, Tanzania Prisons utakaochezwa Uwanja wa Sokoine na Mbeya City atakuwa mwenyeji.


“Kikosi kipo vizuri na wachezaji wana morali ya lupambana, nina imani tutafanya vema msimu mpya ndani ya ligi,” amesema.

SOMA NA HII  KOCHA MKUU WA YANGA ATIA TIMU BONGO