Home Uncategorized PICHAZ: SIMBA WALIVYOJIFUA GYMKHANA KWA AJILI YA MECHI NA JKT TANZANIA

PICHAZ: SIMBA WALIVYOJIFUA GYMKHANA KWA AJILI YA MECHI NA JKT TANZANIA


Kikosi cha Simba SC kimeendelea na mazoezi yake leo kunako Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam yakiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo na JKT Tanzania wa Ligi Kuu Bara.

SOMA NA HII  JKT TANZANIA V SINGIDA UNITED TAMBO TUPU