Home Uncategorized ISHU YA POGBA KUSEPA NDANI YA MANCHESTER UNITED MENEJA AFUNGUKA

ISHU YA POGBA KUSEPA NDANI YA MANCHESTER UNITED MENEJA AFUNGUKA


MENEJA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa kiungo Paul Pogba atabaki ndani ya kikosi.

Popga amekuwa akihusishwa kusepa ndani ya kikosi hicho ambacho leo kitamenyana na Wolves na timu zinazotajwa ni Juventus na Real Madrid.

Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Chelsea, Pogba alisema kuhusu kubaki ndani ya kikosi ni alama ya kiulizo kwa sasa hiyo ilikuwa Agosti 11.

Licha ya Usajili Kwa Premier League kupigwa loki bado La Liga na Serie A masoko yapo wazi mpaka September 2.

Meneja Solskjaer hana tatizo na Pogba leo kwenye mchezo dhidi ya Wolves amesema :”Wewe (Vyombo vya Habari) muda wote mnauliza huhusu Pogba, sifikirii kama ilivyokuwa zamani naona anacheza vizuri na anafuraha kuwa ndani ya timu ila ninaamini bado atabaki ndani ya timu,” amesema.

SOMA NA HII  KMC KAMILI GADO KWA AJILI YA KUIVAA MBEYA CITY KESHO