Home Uncategorized MAVUGO ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA ZAMBIA, AFUNGA MABAO 10

MAVUGO ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA ZAMBIA, AFUNGA MABAO 10


Straika wa zamani wa timu ya Simba, Laudit Mavugo, ametwaa tuzo ya ufungaji bora nchini Zambia.

Mavugo ambaye anakipiga na Napsa Stars hivi sasa ya nchini humo, ameisaidia timu hiyo kupata jumla ya mabao 10.

Straka huyo aliyekuwa hana bahati alipojiunga na Simba misimu kadhaa iliypita, amekuwa mchezaji tegemeo kunako timu yake.

SOMA NA HII  YANGA RUKSA KUSEPA NA MSHAMBULIAJI HUYU WA GHANA