Home Uncategorized KOCHA YANGA AWAKA VIBAYA, AZUNGUMZIWA KUFANYIWA UBAGUZI – VIDEO Uncategorized KOCHA YANGA AWAKA VIBAYA, AZUNGUMZIWA KUFANYIWA UBAGUZI – VIDEO By admin - January 19, 2020 140 0 YANGA bhana! Kama mlivyosikia kwani imeshindwa kutamba kwa mara nyingine mbele ya Azam FC baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, jana huku mvua iliyonyesha ikitibua baadhi ya mipango ya kocha.