Home Uncategorized TAFRANI YAPAMBA VITA YA DIAMOND NA HARMONIZE, MATUSI YATAWALA – VIDEO

TAFRANI YAPAMBA VITA YA DIAMOND NA HARMONIZE, MATUSI YATAWALA – VIDEO


Omary Mwanga maarufu kama MARIO amewaingiza vitani Diamond na Harmonize na kufanya mtifuano mkali katika mitandao ya kijamii.

Pande zote mbili zimeonesha nia ya kumtaka kinda huyo anayefanya vizuri katika ramani ya muziki kwa sasa.


SOMA NA HII  HILI HAPA JESHI KAMILI LA SIMBA,MAJEMBE MAPYA SABA NDANI