MENEJA mauzo wa Azam Media Loth Mziray amesema kuwa App mpya ya AzamTV Max.
Akizungumza kwenye uzinduzi wa App hiyo, Mziray amesema kuwa ubora wake utawafanya watumiaji kufurahia ubora wa picha na video zitakazokuwa zikionyeshwa.
“Baada ya kufanya maboresho sasa AzamTV inakuletea App mpya na ya kisasa zaidi, AzamTV Max. ikiwa imeongezwa chaneli nyingi zaidi na burudani kibao.
Namna ya kuipakua:-Download sasa kwa watumiaji wa Android, https://ift.tt/GT4z6C
Kwa watumiaji wa Iphone. https://ift.tt/2Ro7IWP






