Home Uncategorized HAJI MANARA AAMUA KUWACHANA TENA YANGA JUU YA USAJILI WA KOTEI, AJA...

HAJI MANARA AAMUA KUWACHANA TENA YANGA JUU YA USAJILI WA KOTEI, AJA NA KAULI MPYA

Baada ya kuenea kwa tetesi ambazo awali zilikuwa zinasema kuwa Yanga wanamhitaji kiungo aliyewahi ichezea Simba, James Kotei, Ofisa Habari wa Simba, ameibuka na kutoa tamko juu ya tetesi hizo.

SOMA NA HII  RUVU SHOOTING WAMPAPASA BOSI WAO WA ZAMANI, CHUMA APELEKWA HOSPITALI