Home Uncategorized KAMA KAWAIDA YAKE, MANARA AMVAA NUGAZ KWA MARA NYINGINE, HIKI NDICHO AMEKIANDIKA

KAMA KAWAIDA YAKE, MANARA AMVAA NUGAZ KWA MARA NYINGINE, HIKI NDICHO AMEKIANDIKA


Kama kawaida yake!! Baada ya kuona msemaji mwenzake kutoka Yanga, Antonio Nugaz, akichapia kwa kusema kuwa Yanga ikishinda mechi tatu itakuwa na alama sita badala ya sita, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ameandika hiki kuhusiana na Nugaz katika mtandao wake wa Instagram.

Nini maoni yako? Tuandikie hapa chini.

SOMA NA HII  NAMUNGO YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA