Uncategorized

COASTAL UNION YATUMA UJUMBE HUU KWA YANGA

admin February 21, 2020 4:22 am


BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Coastal Union amesema kuwa watapambana mbele ya Yanga kupata matokeo chanya kwenye mchezo wa kesho utakaopigwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Coastal Union iliyo chini ya Juma Mgunda inakumbukumbu ya kufungwa mchezo wa kwanza na Yanga Uwanja wa Uhuru bao 1-0.

“Kikubwa ni maandalizi na kupoteza mchezo wetu uliopita inaumiza ila matokeo ya mpira yapo namna hiyo wapinzani wanapambana nasi ni lazima tupambane, mashabiki watupe sapoti,” amesema. 

Coastal Union ilifungwa mabao 2-1 na Ruvu Shooting kwenye mchezo wao wa ligi ulipita itamenyana na Yanga iliyopata sare ya kufungana bao 1-1 na Polisi Tanzania.

ISHU YA WACHEZAJI YANGA KUTOLIPWA MKWANJA WAO YAFIKIA HAPA BIASHARA UNITED WAIPIGIA HESABU HIZI SAFU YA USHAMBULIAJI YA SIMBA KESHO TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply