KIKOSI cha JKT Tanzania kilicho chini ya Mohamed Abdallah, ‘Bares’ jana kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma,
Bao la ushindi wa JKT Tanzania lilipatikana kipindi cha kwanza kupitia kwa Hassan Mwaterema.
Mpaka muda wa mapumziko Kagera Sugar iliyo chini ya Mecky Maxime ilikuwa nyuma kwa bao hilo lililofungwa dakika ya 41.






