Home Uncategorized FA: YANGA 0-0 GWAMBINA

FA: YANGA 0-0 GWAMBINA


Kipindi cha Kwanza: Yanga 0-0 Gwambina FC
Uwanja wa Uhuru.

YANGA leo imeikaribisha Gwambian FC Uwanja wa Uhuru kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho.

Mshindi wa leo anapenya jumla mpaka hatua ya robo fainali kuendeleza mbio za kusaka ubingwa uliopo mikononi mwa Azam FC.

Mashabiki wamejitokeza Uwanja wa Uhuru kushuhudia pambano.

SOMA NA HII  VITA YA LIVERPOOL YENYE LUNDO LA MAJERAHA V LEICESTER CITY YAMOTO