Home Uncategorized SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUNGA BAO LA KUOTEA

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUNGA BAO LA KUOTEA


UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wale ambao wanalalamika kwamba wamefunga bao la kuotea waripoti taarifa hiyo kituo cha Polisi wakiwa na maelezo kamili.

Ofisa Habari wa Simba Haji Manara kupitia Ukurasa wake rasmi wa Istagram ameandika namna hii:-


SOMA NA HII  YANGA WABADILI GIA KWA MAKAMBO, KISA SIMBA