Home Uncategorized VPL: LIPULI 0-1 SIMBA

VPL: LIPULI 0-1 SIMBA


Kipindi cha Kwanza: Lipuli 0-1 Simba
Uwanja Samora
Gooal Bocco

Dakika ya 31 Paul Ngalema anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 29 Simba wanapiga kona ya tano inaokolewa
Dakika ya 27 Lipuli wanapiga kona 
Dakika ya 22 Bocco anafunga bao kwa pasi ya Francis Kahata
Dakika ya 21 Simba wanapiga kona ya nne nayo inaokolewa na mabeki
Dakika ya 15 Manula anaanzisha mashambulizi, ndani ya dakika 15 za mwanzo ngoma ni ngumu kwa timu zote na zinacheza kwa ufundi
Dakika ya 12 Kapombe anapiga kona ya tatu kwa Simba haileti matunda
Dakika ya 9 Kened Masumbuko mwenye mabao matatu anaachia fataki kali linaokolewa na Manula inakuwa kona ya pili kwa Lipuli
Dakika ya 7 Daruesh anatengeneza nafasi nzuri ila anapotezana na wachezaji wenzake
Chama amepiga kona ya kwanza dakika ya 06Lipuli wamepiga kona ya kwanza dakika ya 5

LIPULI leo imeikaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaochezwa Uwanja wa Samora, Iringa.

Mchezo wa kwanza Simba ilishinda mabao 4-0 ulichezwa Uwanja wa Uhuru.

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona ushindani ndani ya Samora.

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA IJUMAA IJUMAA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here