Uncategorized

CIOABA KWENYE MTIHANI MZITO MNDANI YA BONGO, JUMATANO

admin March 2, 2020 2:19 pm


ARSTICA Cioaba, Kocha Mkuu wa Azam FC, Jumatano ana kibarua kizito mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00.

Azam FC imetoka kushinda mchezo wao mbele ya JKT Tanzania kwa ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Anderw Simchimba wakiwa ugenini Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Mchezo wa kwanza uliowakutanisha wapinzani hao Simba ilishinda bao 1-0 na lilifungwa na Meddie Kagere mwenye mabao 14 kwa sasa ndani ya ligi.

Simchimba amesema kuwa kila baada ya kumaliza mchezo wamekuwa wakiangalia makosa yao na kujipanga kwa ajili ya mechi inayofuata.


USHNDI WA MABAO 2-0 MBELE YA NDANDA YAIPA JEURI MTIBWA SUGAR YANGA YATUMA SALAMU HIZI KWA MBAO FC KESHO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply