Azam FC 1- 0 Simba
Uwanja wa Taifa
Kipindi cha kwanza
Dakika ya 4 Nevere tegere anamtungua Aish Manula kwa guu la kuliaAZAM FC leo imeikaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.
Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa Azam FC ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 mfungaji akiwa ni Meddie Kagere hivyo leo ni mchezo wa kisasi.






