Home Uncategorized HIVI HAPA VIGONGO 11 VYA SIMBA MZUNGUKO WA PILI NDANI YA LIGI... Uncategorized HIVI HAPA VIGONGO 11 VYA SIMBA MZUNGUKO WA PILI NDANI YA LIGI KUU BARA By admin - March 10, 2020 431 0 BAADA ya Simba kunyooshwa na watani zao wa jadi Yanga, Machi 8 Uwanja wa Taifa kwa bao 1-0 wamebakiwa na kete 11 mkononi kukamilisha mzunguko wa pili ndani ya Ligi Kuu Bara. Vigongo vyake vipo namna hii:- Simba Vs Singida Simba Vs Ruvu Simba Vs Mwadui Mbeya Vs Simba Prisons Vs Simba Ndanda Vs Simba Namungo vs Simba Simba Vs Mbao Simba Vs Alliance Costal Vs Simba Polisi Vs Simba