Uncategorized

ALIYEMBANA MEDDIE KAGERE ALIPEWA MBINU NA SIMBA WENYEWE

admin March 18, 2020 9:12 am


LAMINE Moro, beki kisiki ndani ya Yanga amesema kuwa alipewa mbinu na Simba wenyewe za kuwabana washambuliaji wao jambo ambalo halikumpa tabu Machi 8, walipokutana.

Kwenye mchezo wa watani wa jadi ule wa kwanza uliochezwa Januari 4 wakati Simba ikilazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 hakuwa uwanjani kutokana na adhabu ya kadi tatu za njano.


Lamine aliwahi kufanya majaribio ndani ya Simba na alichimbishwa kwa kukosa vigezo vya kusajiliwa kabla ya kuibukia Yanga.


 “Wakati nipo nafanya majaribio Simba kwenye mazoezi nilikuwa napangwa timu tofauti na Meddie Kagere ilininisaidia kujua uimara wao na ubovu wao pia,

MTIBWA SUGAR KUREJEA MORO LEO BAADA YA MCHEZO WAO DHIDI YA COASTAL UNION KUAHIRISHWA MBELGIJI WA YANGA AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply