Uncategorized

KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA MAKOCHA KUWA NA PRESHA

admin March 25, 2020 1:04 pm


KOCHA Msaidizi wa Simba FC, Selemani Matola amesema kuwa makocha wengi wanaozinoa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, wanaishi kwa presha kwa kuwa hawana uhakika wa kuzipa mafanikio timu zao. 

Matola amesema hata yeye wakati anainoa timu ya Polisi Tanzania kabla ya kutua Simba, alikuwa anakumbana na hali kama hiyo kwa sababu timu nyingi za chini hazina uhakika wa kushinda michezo miwili mfululizo.


Matola amsema presha hiyo inaongezeka kwa sasa kutokana na timu nyngi kushuka daraja msimu huu.

“Msimu huu timu nyingi zinashuka daraja ambapo moja kwa moja zitashuka nne na nyingine mbili zitacheza playoff sasa hali hiyo inafanya kila kocha kuwa na presha kuona namna gani timu yake itafanya vizuri,”

NIYONZIMA ACHEKELEA MAISHA YAKE NDANI YA YANGA TANZIA; ASHA MUHAJI, ALIYEKUWA OFISA HABARI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply