Home Uncategorized TANZIA; ASHA MUHAJI, ALIYEKUWA OFISA HABARI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

TANZIA; ASHA MUHAJI, ALIYEKUWA OFISA HABARI WA SIMBA AFARIKI DUNIA


ASHA Muhaji, mwandishi mwandamizi wa michezo nchini amefariki dunia leo alipokuwa akipatiwa huduma ya afya.

Asha aliwahi Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amekutwa na mauti hiyo alipokuwa Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam.

SOMA NA HII  MORRISON APEWA NDINGA MPYA NA BOSI SIMBA, ATUMA UJUMBE WA KIJEMBE KIMTINDO