Uncategorized

POLISI TANZANIA YATUMA UJUMBE HUU KUHUSU VIRUSI VYA CORONA

admin April 13, 2020 1:27 pm


MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa ni jambo la msingi kwa kila mmoja kwa sasa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

Janga la Virusi vya Corona limesababisha shughuli nyingi kusimamishwa ili kuepusha maambukizi zaidi ikiwa ni pamoja na upande wa soka.

Malale ambaye kikosi chake cha Polisi Tanzania kilikuwa kwenye ubora wake kabla ya ligi kusimamishwa amesema:”Muhimu kutambua kwamba ugonjwa upo na kila mmoja anapaswa kuchukua tahadhari ya kujilinda ili awe salama, pia ni muhimu kukumbuka kufanya dua kwani Mungu ndiye muweza wa yote,”.

ILIKUWA KITAMBO, SAINI YA NAHODHA WA MTIBWA SUGAR NA SASA NI KOCHA MKUU, CHEKI MAFANIKIO YAKE NONGA: MUHIMU KWA WACHEZAJI KUCHUKUA TAHADHARI NA KUFANYA MAZOEZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply