Uncategorized

CHAMA ATAJA HATMA YAKE NDANI YA SIMBA

admin April 18, 2020 6:01 am

CLATOUS Chama, kiungo mshambuliaji wa Simba ameweka wazi muda ambao bado atakuwa ndani ya Klabu ya Simba.

Chama amekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga msimu huu huku Simba ikipeleka malalamiko yao Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kudai kwamba Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fredrick Mwakalebela amefanya mazungumzo na mchezaji wao ilihali ana mkataba.

Chama amesema kuwa:”Bado nipo ndani ya Simba na nina msimu mmoja mwingine ambao nitahudumu.”.

Ndani ya Ligi Kuu Bara, Chama amefunga mabao mawili na kutoa pasi saba za mabao.

MTUPIAJI MWINGINE HUYU WA CONGO AINGIA ANGA ZA YANGA NYOTA HUYU KIPENZI CHA MASHABIKI ATAJWA KUREJEA JANGWANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply