Uncategorized

BOGA AYAKUMBUKA MAISHA YA CHELSEA

admin April 21, 2020 12:59 pm

KIUNGO Jeremie Boga nyota wa Klabu ya Sassuolo amefunguka kwa sasa klabu yake bora ni hapo aliposasa, ila hawezi kuisahau klabu ya Chelsea siku zote.
Boga mwenye miaka 23 ni raia wa Ufaransa ambaye anavaa jezi namba 7 mgongoni.
Hata hivyo, Chelsea wanauwezo wa kumnunua tena Boga kwa euro milioni 15, kutokana na makubaliano ingawa Boga mwenyewe amesema kwa sasa maisha yake ni Sassuolo.
Boga amesema: “Chelsea palikuwa pazuri kwangu nimekulia pale nimepatia uzoefu pale na kulikuwa na watu wazuri ambao walinisaidia,”.
BAO PENDWA LA KIUNGO FUNDI WA SIMBA HILI HAPA TSHISHMIBI NA FEI TOTO WAMVUTA NDANI YA YANGA KIUNGO MKALI WA KENYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply