Uncategorized

TEGETE AWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI

admin April 21, 2020 1:59 pm

JERSON Tegete nyota wa zamani wa Yanga anayekipiga ndani ya Klabu ya Alliance amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya virusi vya Corona ili awe salama.

Alliance yenye maskani yake mkoani Mwanza ipo nafasi ya 18 kwenye msimamo imecheza mechi 29 kibindoni imekusanya pointi 29.

Tegete amesema:”Ikiwa hauna shughuli ya lazima ya kufanya ikiwa ni kusafiri ni busara kubaki nyumbani na kuchukua tahadhari ili uwe salama.

“Janga hili ni kubwa na ni letu sote hivyo itapendeza kila mmoja akiwa anapambana kwa juhudi kushinda hili kwani mambo sio shwari, nami nachukua pia tahadhari,” amesema.

UWEZO WA KAPOMBE WAMVUTIA BEKI HUYU ANAYEKIPIGA KCB, ATAKA KUJA SIMBA NAHODHA YANGA APANIA KUWA BORA ZAIDI MAISHA YAKIREJEA KAMA ZAMANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply