Uncategorized

ISHU YA BEKI MGHANA KUIBUKIA SIMBA IMEKAA NAMNA HII

admin April 29, 2020 4:11 am


UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado una mkataba na nyota wao Mghana, Yakub Mohamed hivyo kama kuna klabu inamhitaji lazima utaratibu ufuatwe.

Habari zinaeleza kuwa mabosi wa Msimbazi, Simba wanaiwinda saini ya nyota huyo ambaye ni beki wa kati.

Abdulkarim Amin, Mtendaji Mkuu wa Azam FC amesema kuwa:”Yakub ni mali ya Azam FC kandarasi yake bado ni ya muda wa miaka miwili kwa kuwa aliongeza mkataba wake hivi karibuni.

“Ikiwa kuna timu inahitaji saini yake hakuna shinda ni suala la kukaa mezani kwani utaratibu upo wazi na hatujawahi kumzuia mchezaji anayetaka kuondoka ndani ya Azam FC,” 

NIYONZIMA AOA KIMYAKIMYA MKE WA PILI TSHISHIMBI: NINAJIFUA KULINDA KIPAJI CHANGU, MUHIMU KUCHUKUA TAHADHARI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply